ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,050
- 61,375
Nasikia siku hizi wake wa watu hasa wale wenye waume wazee wamekuwa warahisi Sana kuchepuka nje kwa Kuwa Sasa hivi namba ya wanawake imekuwa nyingi Basi Baadhi ya wanandoa wanafanya usaliti kidogo na wanapochepuka wanasababisha jamii kujaa umalaya wa kiasi kikubwa na mwisho kabisa ukuaji wa technology na mawasiliano umefanya kazi ya kukamatwa Kuwa ndogo kwa hivyo wasije wakakuteka wenye wake zao.
Halafu lawama ziende kwa serikali wakati inafahamika wazi kizazi hiki Ni Cha hatari na ukatili na matukio yapo tu watu million 50 Ni wengi. Maisha yamekuwa magumu watu Wana uchungu na wake zao Sasa wewe jichanganye udabwe na hao tusiowajua(wasiojulikana)