Onyesho la Diamond Platnumz katika Miaka 38 ya CCM

Onyesho la Diamond Platnumz katika Miaka 38 ya CCM

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561

Kijana anaushawishi mkubwa sana, Mimi nadhani ifike muda tumtumie kuvuta wapiga kura au mnaonaje wadau.

#MstahikiMeya
 
Last edited by a moderator:
aisee!kweli jamaa anapendwa,wakati anaingia nimeona nyomi ya madent jukwaan,hata pale stejini pia kulikua na nyomi la watoto!
CCM inawapiga kura wengi sana hapo october.
 
Yani ccm wanatia huruma Sana wamesomba watoto wa Shule ndiyo wamejaa uwanjani jamani aibu Kubwa sana kweli ccm kwisha hbr Yake
 
Wewe hayo ni mawazo yako baada ya kucheki nyomi la watoto wa shule za Second kata na primary. Ushaona shoo za JB MPIANA katika viwanja vya mpira huko Kinshasa tena kwa kiingilio? watu huja na maroli ili wapande angalau kumuona na hata mvua ikinyesha ni makamuzi tu.
 
Acha kabisa, huyu mutoto ya congo yuko na voice musuli sana J.B Mpiana Mukulu safi sana.
 
Acha kabisa, huyu mutoto ya congo yuko na voice musuli sana J.B Mpiana Mukulu safi sana.

Bin Adam, Papa na Cherry, Mukulukulu, Charistimatic Leader, Papa na Bling Bling,Jean Bedel Mpiana wa Tshtuka, le classic voice of KIN, weeeeeeeeee!

Hayo ni madini adimu ya Afrika, hapo hakuna cha playbacks, ni acapera livee na masauti ya ukweli.
 
Back
Top Bottom