Onyesha upendo wako Kwa wamama wote duniani....,

kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
483
Reaction score
149
ImageUploadedByJamiiForums1399812029.948729.jpg
 
Subiri kwanza nimpigie mama nimulize kama amekula lunch, nitarudi
 
Duh, sina cha kumlipa mama yangu, nampenda sana. Na siku ya leo nimemfanyia suprise, nimemwandalia msosi wa ukweli, tumekula pamoja, tumefurahi.
Namuomba Mungu amjaalie umri mrefu na afya njema.....nampenda mama yangu.
 
Unaishi na mama?
 
Back
Top Bottom