Yule kijana machachari asiye na macheko na hela al maarufu kama Ontario au sir_jeff Dennis, ameanzisha kongamano maalum kwa ajili ya kuwainua vijana kiuchumi na kifkra, nyote mnakaribishwa.
Mimi huwa namuelewa sana huyu jamaa sema tatizo lake huwa hafanyi "UPEMBUZI YAKINIFU" kwenye mikakati yake kiasi cha kuonekana kuwa ni "wale wale" akina #Mwaka, #Ndodi, nk,. Inabidi kuchagua upande sahihi wa kile anachokuelekeza, Asante ONTARIO kwa kunifunulia dunia FOREX, naingiza hela ya mboga huku nimelala tu ndani!
25.97 US$ asubuhi tu kabla sijaingia kibaruani....hapa supu, nauli, lunch...sina cha kukupa kaka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.