Kuna wale jamaa zetu hawatamki "H"Nilimkubali huyu jamaa alipoulizwa swali - Bone marrow yaani ule uji uji unaokaaga ndani ya mifupa jibu lake akaniambia - UBOHO!
Ndani yako unakawivu inaonekana hupendi anachokifanya jamaa acha kaoyo hako jombaHata Wewe hapo ulipo ungekuwa tu una ile Kamusi ya TUKI nadhani ungekuwa Onni Sigala ' number two ' kwani maneno yake mengi anayatoa huko. Tatizo la Watanzania wengi ni Wavivu Kujisomea na Kutafuta ' Maarifa ' hivyo akitokea tu Mtu ambaye anajua Kucheza na akili za Watanzania basi hao hao Watanzania humuona Shujaa au Msomi sana au Mtu mmoja mahiri na mwerevu wakati ni mambo ya kawaida sana.
Mkuu tutapata wapi muda wa kusoma kamusi ya TUKI badala ya kufuatilia akina Diamond ,Wema,Mbosso,Amba Rutt ,Zitto,Lissu na wengineo.
Ndani yako unakawivu inaonekana hupendi anachokifanya jamaa acha kaoyo hako jomba
Sawa mmarekani mweusiYaani niwe na Wivu na Mtu ambaye ' Madini ' yake mengi anayatoa katika Kamusi ya TUKI ambayo ipo sehemu mbalimbali ila nyie Watanzania ' Wapuuzi ' wachache hamtaki Kujibiidisha katika Kupata ' Maarifa ' hadi Onni Sigara anaamua sasa ajipatie ' Umaarufu ' kupitia Upopoma / Upumbavu wenu.
Hahahah uboho sioNilimkubali huyu jamaa alipoulizwa swali - Bone marrow yaani ule uji uji unaokaaga ndani ya mifupa jibu lake akaniambia - UBOHO!
kweli una mfahamu sanaNi mkinga sijui mbena mmoja wa huko Njombe
Mchambuzi wa lugha ya Kiswahili ila sijui alijifunzia wapi
Ni mcheshi sana katika maisha ya kawaida utani mwingi
He is a good guy!
Amefanyaje kwani?
haya be mdimiNi kweli lkn linaweza leta stofahamu kwa wengine. User id yangu si uneiona sina kinyongo nataka isionekane tunafagilia ukabila!
Ni Mkinga sio Mbena
Hihihihihihi!!!!!!!!Nilimkubali huyu jamaa alipoulizwa swali - Bone marrow yaani ule uji uji unaokaaga ndani ya mifupa jibu lake akaniambia - UBOHO!
Atauliza BAKITA ndiyo nini?
Mkuu kwann umesema ww ni mbena ungepoint kwenye mada tu, au unataka useme ni ndugu yako