Kama mimi ndie "mtoto wa mkubwa" na ndio nachukia hongo hii ni ajabu, maana ningeweza kupata hizo haki kwa mikato mikato, na vi memo, na hongo. Sasa wewe "mtoto wa hohe hahe" ndio unakuwa wa kwanza kuja kusema "I am laughing out loud... nimetoa hongo... na kama nimetoa we kinakuuma nini...usinifate fate"! Mtoto wa hohe hahe una afford kununua haki na kusema tusikuingilie! Let's trade places then, maana mimi na huo "utoto wa mkubwa" simudu kununua haki kama wewe wa hohehahe.
Bottom line is, ukitoa hongo huko na kupata huduma usileta hadithi yako, na wewe fisadi.
Shosti za siku?
Pole sana kwa mkasa. si ungeniita shosti tukaenda sote...lakini si unajua lakini shughuli yake ingekuwaje kama tungekuwa sote? mimi I would've wanted that a$$ attitude receptionist, tuoneshane attitudes(s). Hana adabu kabisa. Hata mwa'mke mwenzie??!!!...
Bongo bwana, only one thing works.... "a gun"
It seems to me that civil servants are trained by the same corrupt teacher. I had a similar experience while trying to renew my passport in Nairobi...Ilibidi ni honge, ndo passport iwe issued. Infact after kuhonga it was ready the following day.
Infact in my case that civil servant did not spell it out, she expected me to read her mind. Only later one of my brothers told me that, thats what she wanted and i had to pay up.
Yeah that's the reality
Umenikumbusha mwaka 2005 nilivyokwenda kubadilisha birth certificate yangu kwa kuwa maandishi yalikuwa hayasomeki nikapewa maelekezo kama uliyopewa yaani kupanda mingazi kibao na nilivyofika kwa secretary nikapewa jibu kuwa nirudi kwenye wilaya iliyonipatia hiko cheti then ndo wenyewe wakitume vizazi na vifo, wakati napewa maagizo hayo kuna jamaa pembeni yangu alikuwa akijadili naye ili angalau apunguziwe bei ya hongo aliyoambiwa.
Mpaka nilipokubaliwa kuonana na mkurugenzi tayari nilikuwa nimeshachoka. Lakini kuna Dada mmoja pale alinionesha ukarimu wa ajabu mpaka leo namkumbuka, manake nilivyoagizwa kwake kutoka kwa mkurugenzi alishughulikia kwa haraka na cheti changu nilikipata baada ya siku mbili tu tena kwa bei halali 2500Tsh badala ya 30,000Tsh nilizokuwa nimeambiwa mwanzoni na maofisa wengine pale.
Ila sintosahau majibu niliyokuwa napewa na secretary wa Mkurugenzi, yanakera kwa kweli na kama una roho nyepesi unaweza kukata tamaa.
Kelly,
Kwanza pole kwa maswahibu. Hii ndo Bongo karibu sana.
Reading all these post nimegundua watu wengi hamkai hapa TZ you do not know it guys. Things here are NDIVYO SIVYO. System nzima imeharibika BIG TIME so Kelly kuna wanaosema ungekomaa lakini i dont see it kwanza ulikuwa na haraka nk nk. So swala ni kubwa than many of us here tunavyofikiri. Sie tulieko huku tunajua.
Ila kuna kitu mimi sijakielewa kwenye siganture yako pale chini. Can it be translated labda au ndo ushamba wangu.
"
yaanu ndugu situation yako ipo so similar kama ya kwangu...ilikuw ahivyo hivyo ila imenidi niifupishe maana ile njoo leo njoo kesho mara unapelekwa huku nilienda mapaka magomeni huko alafu amgomeni wananirudisha tena vizazi na vifo....yaani ilikuwa kasheshe tupu!...
... Hii ndo Bongo karibu sana.
Reading all these post nimegundua watu wengi hamkai hapa TZ you do not know it guys. Things here are NDIVYO SIVYO. System nzima imeharibika BIG TIME so Kelly kuna wanaosema ungekomaa lakini i dont see it kwanza ulikuwa na haraka nk nk. So swala ni kubwa than many of us here tunavyofikiri. Sie tulieko huku tunajua.
Shapu, kwa hiyo unataka wote tuikubali system iliyooza kwa vile tu imezoeleka na "Sie tulieko huku tunajua."?
Tatizo moja kubwa linalokinza maendeleo ni kwamba watu hawana exposure ya jinsi mambo yanavyotakiwa kuwa katika viwango vya nchi zilizoendelea. Ndio maana na wewe unaona hongo poa kwa aliye na haraka kama Kelly alivyofanya. Unakosea big time. Kwenye nchi zilizoendelea mwenye haraka ni yule aliyefika mbele ya mstari, wengine wote suburini kuuule! Katika nchi zilizoendelea ukienda "vizazi na vifo" ukasema nina haraka nataka kusafiri in two days, nahitaji jina langu lifanywe hivi na vile katika nyaraka hii na ile, na huduma yenyewe kawaida ni ya seven business days, unafikiri watasimamisha shughuli zao waseme "..oh my God, Mr. Shapu is here, or Ms. Kelly, "the baddest biach" is in a hurry here, let's make everybody else wait and do her paperwork! Please! Kajaribu.
Kelly katoa hongo kwa sababu aidha watoa huduma walinuia kumuuzia haki yake, au Kelly mwenyewe alitaka huduma iwe fast tracked tofauti na taratibu. Either way, katoa hongo. "Haraka" sio kisingizio.
Member wa JF anapokuja hapa kuhadithia katoa hongo, na alaaniwe, yeye na wauza haki wake wote.
Nimejaribu kukufuatiliya ...ni yule kijana ambaye mpaka leo bado anavaa Kaunda suti......unazeeka