OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,015
- 114,360
Hivi wakuu kwa utawala huu kuna haja ya kuwa na bunge?Bunge limeng'olewa meno limekuwa kibogoyo.Matumizi makubwa yanabadilishwa bila kuidhinishwa na bunge.Serikali inajisimamia yenyewe na kulisimamia pia bunge.