Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,853
Tupe jibu basi
ENGLISH PLEEEAASSE1. Husband
Kunyamaza kimiani ni adhabu kubwa zaid. Alimuona mkewe akilia na hakumuuliza shida ni nn
She should decide to go away...The Husband
Mume ndiye kamuua mke hiyo hatua aliyochukua baada ya fumanizi ni zaidi ya kupigwa au hata kufukuzwa ndani ya nyumba aisee!
Hiko ni kipigo cha hisia ukikutana na anayejua kutandika kihisia akakuweka kwenye kona ni lazima akuue.
Dah!.
Mkuu umesoma logic form 5 kwenye pure mathematics??
Au logic kwenye adition mathematics O'level??