Only airport in the world - which has runway crossing the express Highway

Only airport in the world - which has runway crossing the express Highway

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,083
Reaction score
34,859
923376_623158151040780_2095560348_n.jpg


Gibraltar Airport in British overseas territory of Gibraltar is the only airport in the world - which has runway

crossing the express Highway (between Spain & the island). Traffic lights are used to stop the traffic while an

aircraft takes off or lands! British Airways has daily flights here
 
ni kweli katika ardhi hii ya JABAL TARIQ alias GIBRALTAR , kuna kipande cha barabara ambacho hutumiawa na ndege pia na magari ila SI KWELI kwa hii nchi ni kisiwa, hii ni rasi iliopo kusini mwa Hispania na hiyo barabara itumiwayo na ndege na gari ipo ndani ya hili jabali (kama wanavyoita wenyewe THE ROCK/LA ROCA ) kwa hiyo ni kusema kuwa kipande hichi cha barabara hakigusi Hispania.
 
Aise mzizimkavu hii nimeipenda Ila nimejifunza kwamba kumbe kuna nchi zina uhaba wa ardhi kiasi hiki kweli sasa naamini Tz tumebarikiwa!
 
Back
Top Bottom