Online TV zinakera sana

Ni utapeli wa kupata views ili kujiingizia kipato kisicho halali.

Hili jambo kuna uzi uliletwa last week kulaani hivi hivi.
 
siku hizi habari ni za kusoma tu, tena ni humu jf, na website chache kama mwanamchi, global publishers nk

Ila youtube labda nipate link inayoni'direct huko
 
Upo sahihi mkuu
 
Na tatizo la click bait ni kwamba unaweza kuwa na views milioni moja lakini walio angalia video yako kuanzia mwanzo mpaka mwisho hawazidi kumi.
Hahahahaa ndo kilichopo mkuu, ukifungua tu unafundua madudu unasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…