Habari zenu wana JF, tumaimai mko vyema. Mie swali ni kuhusu kupokea mzigo, ukiwa umefanya order kutoka Aliexpress kuja Tanzania hasa Zanzibar mzigo unapokelea wapi?

Taarifa zako umejaza upokee wapi?
Kwa uzoefu tu mzigo wako utapokea posta pia siku hizi kuna kampuni inapokea mizigo kutoka Aliexpress na ukifika watakupigia simu.