ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,134
- 17,603
Wakuu wasalaam..
Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform
Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%
Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd
Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd
Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform
Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd
ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh
Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh
Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh
Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi
Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?
Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?
Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi
Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019
NawasilishaView attachment 1155016
Mpesa? Naona hujipendi wewe.Hawawezi kuwa na Cheo hicho hawa...Ila hio ya MPESA nitaijaribu pia
You are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...Wakuu wasalaam..
Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform
Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%
Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd
Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd
Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform
Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd
ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh
Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh
Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh
Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi
Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?
Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?
Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi
Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019
NawasilishaView attachment 1155016
Asante sana mkuu nitafuata ushauri wako bossYou are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...
Kwanza fungua account ya dola kwenye benkiunayoipenda, NMB, Stanbic, backlays na KCB naona wako vizuri eneo hili (visa card zao zina 2FA ambayo ni added level of security)!!
ela zako za TSH badilisha ziwe USD (nenda crdb watakubadilishia, ila kama una ela nyingi unaweza ongea nao wakakupa rate nzuri!!)
Baada ya kupata USD nenda kaweke kwenye account ya dola!!
Unapofanya manunuzi tumia account yenye USD na sio account yenye TZS!!
CRDB rate zao ni 2315 per 1USD!!
Kutumia mpesa itakukula pesa kijinga tumia bank hizo nlizokushauri hapo juu!!
You are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...

hivi paypal inafanya kazi bongo?Achanao hao crdb kuna muda unaweza kulipia pesa kwa paypal lakini utakuta salio halikatwi kwa wakati huo uliolipia bidhaa ukiangalia salio lile lile akati nimelipia bidhaa nilikuja kushtuka ni kama kuna ujanja flani watu wanafanya uhuni utapata mawazo tu nilishaachana nao kitambo tu sasa natumia mpesa card ambao wameunganisha na bank abc malipo chap na sms ya makato inakuja hapo hapo hakuna usumbufu wowote
Sijawatumia ila nadhani wako okey!!Vip NMB wako vizuri katika soko la ununuzi mtandaoni
Sijajua benki walikupa sababu gani. Ila based on my experience with M-Pesa Mastercad unapolipia online purchase yako wanakukata 4% ya thamani ya gharama za hela unayolipia. Kama CRDB nao wanautaratibu huo wa kukata hela kila ulipiapo bidhaa mtandaoni, kwa hiyo kiasi ulichokitaja basi watakuwa wanakata asimilia 3% ya malipo yako.Wakuu wasalaam..
Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform
Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%
Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd
Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd
Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform
Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd
ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh
Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh
Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh
Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi
Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?
Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?
Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi
Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019
NawasilishaView attachment 1155016
Ni sawa mkuu na Kama ni hivyo mbona hawaweki wazi Hizo taarifa ?Sijajua benki walikupa sababu gani. Ila based on my experience with M-Pesa Mastercad unapolipia online purchase yako wanakukata 4% ya thamani ya gharama za hela unayolipia. Kama CRDB nao wanautaratibu huo wa kukata hela kila ulipiapo bidhaa mtandaoni, kwa hiyo kiasi ulichokitaja basi watakuwa wanakata asimilia 3% ya malipo yako.
6,673,219×3%= 200,196.57
Kiasi ambacho kinalingana na hicho ulichokitaja.
Sijajua sababu za kutoweka wazi hilo.Ni sawa mkuu na Kama ni hivyo mbona hawaweki wazi Hizo taarifa ?
Mbona mpesa master card fee zao zipo wazi kabisa
crdb wanakuwa na hiden cost maana ukiangalia kwenye tariff guide yao hamna Hizo fee
Vp bancABC.You are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...