rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 130
- Thread starter
- #21
ok hiyo ilikuwa alpha version............. naweza kuadd functionality ya mteja kuselect mgahawa kulingana na sehemu alipo. ukiwa dar utahudumiwa na migahawa iliyo karibu na wewe..the same ukiwa mbeya.........kumbuka hata google unayoiona leo haikuwa hivo mwanzo......... hizo system analysis and development nshafunika kitambo......na bahati nzuri nilianza na tutorial za havardKazi nzuri ila ujafanya feasibility study ya kutosha mfano mm npo mbeya mgahawa upo dsm je nikiagizia chakula utaniletea ok may be mm npo kko mgahawa upo kimara nikiagiza chakula nile fasta utaniletea siku zote ICT solve problems by develop software lakini wewe iyo software yako itamuongezea stress client na user soma sad or system analysis and developmen