Online payment

Online payment

Frank Hood

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
598
Reaction score
1,383
Ni benki gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie.
 
Ni bank gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie.
Kwa upande wangu, kuhusu bank sijajua....ila kuna option ya kutumia mtandao wa Airtel, unajiunga na Airtel Mastercard then unafanya malipo ya online.
 
Kama unanunia vitu vya dollar 50, 100, 300, 1000 tumia mpesa, tigo au airyel mastercard/visa
 
Kwa upande wangu, kuhusu bank sijajua....ila kuna option ya kutumia mtandao wa Airtel, unajiunga na Airtel Mastercard then unafanya malipo ya online.
Shukurani ila makato yake yankuwaje?
 
Ni benki gani nzuri kwa malipo ya online,especially kwenye makato na usalama maana kuna bidhaa nataka nilipie.
Barclays bank Visa Card, ila uwe unaweka kile kiasi cha pesa unachohitaji kulipia tu, usiweke savings humo, huwa wanatania ya kukata zaidi kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom