Dear JF IT Gurus,
Anyone with idea and experience on how to set up an online payment platform in Tanzania. I want to have, say a website where people can register a course and pay for course fees online. Another example is for making online payment of membership fees.
The payment to be done in a local bank account e.g NBC or NMB.
Kwanza na
I do welcome your idea/experience.

Nadhani ni rahisi kusetup online payment system lakini nikazi kuwa secure application kuhakikisha transanction na informtaion za wateja haziwi compromised.
Kwa kutumia curl library za curl_setopt na php unaweza kutengeneza application ambayo ni secure bila tatizo.
SSL Level, ila kwa sensitive info lazima uwe na ca-bundle.crt file
Chamoto for hiyo curl ina apply security katika level gani? let me google it anyway
Mkuu kama una akaunti crdb nenda uka be register kwa online payment utajaza fomu baada ya 24 hours unaweza kununua kitu chochote online ni vizuri ukafungua acc paypal utajaza fomu utaingiza namba ya atm card yako wao wataicheki kama iko online ikikubali basi unaweza ukanunua vitu kwa urahisi zaidi nayo ni secure sana.Onyo usiweke pesa nyingi kwenye akaunti yako hiyo ya malipo kama haununui vitu. Mimi hiyo Paypal imenisaidia sana kunulia vitu hasa software
.........umeeleweka hapa mkuu...hivyo savig acc inabidi iwe tofauti na hii ya manunuzi. Kwa huu mtoa maada kama akiweza kupata website x5 hawa jamaa wanasoftware yao hii nzuri ya kufyatulia static website pia katika malipo ya online wapo vyema sana pata.hata demo kwanza ujirize nayoMkuu kama una akaunti crdb nenda uka be register kwa online payment utajaza fomu baada ya 24 hours unaweza kununua kitu chochote online ni vizuri ukafungua acc paypal utajaza fomu utaingiza namba ya atm card yako wao wataicheki kama iko online ikikubali basi unaweza ukanunua vitu kwa urahisi zaidi nayo ni secure sana.Onyo usiweke pesa nyingi kwenye akaunti yako hiyo ya malipo kama haununui vitu. Mimi hiyo Paypal imenisaidia osana kunulia vitu hasa software
Dear JF IT Gurus,
Anyone with idea and experience on how to set up an online payment platform in Tanzania. I want to have, say a website where people can register a course and pay for course fees online. Another example is for making online payment of membership fees.
The payment to be done in a local bank account e.g NBC or NMB.
I do welcome your idea/experience.
Naomba niibue tena hii thread... kwani wewe wateja wako unaowauzia vitu online ni wa wapi? Kama ni Tz na wewe uko Tz, kuna hii platform mpya ya kupokea payments hata kwa kutumia visa, master, amex, paypal na hata m-pesa/ airtel money. Mimi nimeanza kutumia this week so nitawajulisha mafanikio na mapungufu yake over time. Hiyo system iko secure na inatumika worldwide.
Upande wa gharama i.e. transaction fees ni 5% ambayo nimeshauriwa kuijumlisha kwenye gharama ninayochaji wateja na pia kuna set up fee upfront. Naomba kujuzwa kama kuna wengine mnaotumia mtandao kama huu...?