hawa majamaa wamepotezea muda sana watu wengi mno..tena hawa matapeli jina la kampuni linabadilika kutoka jina moja hadi jingine lakini kazi ni zile zile...yaani inapofikia wakati wa kutoa hela hamna kitu kinachotoka mara unaambia unatufute refarii kifupi ni full majanga