Polisi gani ahangaike na ujinga huo? Aah wap, yaani mzigo wa kuuzwa 4m wewe uambiwe utauziwa kwa 300k halafu uhangaishe watu? Nadhani akienda polisi ataekwa yeye ndaniHuyo jamaa aende polisi watamtafuta huyo mwizi kiulaini
Sent from my Z4 using JamiiForums mobile app
Polisi gani ahangaike na ujinga huo? Aah wap, yaani mzigo wa kuuzwa 4m wewe uambiwe utauziwa kwa 300k halafu uhangaishe watu? Nadhani akienda polisi ataekwa yeye ndani
Hapa nazungumzia uhalifu,huu anaofanya huyu jamaa ni utapeliPolisi gani ahangaike na ujinga huo? Aah wap, yaani mzigo wa kuuzwa 4m wewe uambiwe utauziwa kwa 300k halafu uhangaishe watu? Nadhani akienda polisi ataekwa yeye ndani
Kuna jamaa yangu alitapeliwa na huyo bwana 400kHuyu Jamaa yuko Iringa Ludewa... Alitaka kunitapeli, anadai anauza Mac book kwa 300k...
Nilipomwambia na Mimi nipo Iringa nakuja kuchukua mzigo, akaniambia wait ntakupigia...
Akawa kimya, nikamtafuta, akasema eti mzigo umeshauzwa... Hahahahaha...
Tapeli kumbee....
Wewe utakuwa unamfahamu...naseeb...ama nawe unafanya dhuluma kama hizi; kwa nini unataka mod waondoe uzi wakati unasaidia kuelimisha uma aina ya utapeli ulipo!?Huyo rafiki yako ni mjinga wa kutupwa na hafai kuishi katika sayari hii, yaani curved lg 55" na hometheatre yake kwa 300000? Hata wewe ulieleta huu uzi ni mpuuzi, mod ondoeni huu ujinga