Online law degrees

Edylux

Member
Mar 30, 2009
48
9
Salaams Wanasheria,

Tafadhali, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma.

Ahsanteni sana,
Edylux
 
Salaams Wanasheria,

Tafadhali, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma.

Ahsanteni sana,
Edylux

Usiona noma mkubwa, hilo ni jambo la kujivunia elimu haina mwisho.
 
Back
Top Bottom