Ni za kweli mkuu ingawaje sio zote kuna wengine matapeli wanaisoma cv yako then wanakutumia msg uwatumie pesa kidogo kwenye cmu ili wakupitishe. unahitaji kuwa makini sana ila mimi nishaitwa kwenye Interview nyingi tu kupitia mitandao...Jaribu bahati yako,,,,,ingia zoomtanzania, kazibongo, etc