Online Jobs/ Work

hochere

Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
12
Reaction score
2
Habar wakuu
Samahani naomba kujua fursa za kazi za kimtandao( Online jobs) mwenye ideas na mzoefu wa fursa hizi tufundishane ili tupeane ajira! Mm niko interested Sana na hizo $ mtandaoni ila sijui chochote ila wenzetu Kenya ndo ajira zao! Tusaidiane kwa hili
Ahsanteni kwa utayari wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ipo moja ndo ninayoitumia inatwa ajiras (www.ajiras.com)
Una register bure, unaweza kuwa seller au buyer. Seller anaweza uza na kununua huduma/kazi mtandaoni, buyer anaweza nunua tu.

Baadhi ya features nilizozipenda
1. Kujiunga ni burw

2. Ina usalama maana baada ya kujiunga unatumia email ya kuhakiki account yako na utahakiki namba yako ya simu pia.

3. Unaweza post kazi yoyote unayoweza fanya

4. Unaweza charge mtu kwa fixed amount, hourly, daily, weekly au monthly.

5. Unaweza weka bei kwa mfumo wa packages.

6. Ina inbuilt messaging ambayo mteja anaweza wasiliana na wewe.

7. Kama kuna huduma unahitaji, unaweza post Request ambapo sellers wata bid na wewe utachagua wa kumpa kazi.

8. Hela yako unachagua pa kuwekwa kuna tigopesa, airtelmoney, Mpesa, Bank Account na Paypay.

9. Unaruhusiwa kupost kazi nyingi hakuna kikomo.

10. Wana program ya referral (ndo naitumoaga sana). Ukiitangaza, mtu akajiunga kwa kutumia link yako unapata sh 70 akinunua au kuuza chochote unapata commission pia.

11. Pia wana forum na support yao ni haraka.

Ina mambo mengi kinoma. Facebook page yao na instagram inaitwa ajirasdotcom




Sent using Jamii Forums mobile app
 
una ujuzi gani kwanza?
ukisha jibu hilo nitarudi.....
 
Ahsante Mkuu nadhani ni fursa ya kujiajiri na kujiongezea kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Online kuna nafasi mingi siku hizi. Lakini njia nzuri ya kutengeneza pesa online ni kutengeneza website yako. Lazimu uijenge kama biashara zingine zote. Ina hitaji wakati na investement Ndio uweze kustawi. Nilianza site yangu forreal.co.ke miaka mbili iliyopita. Unaweza fanya Kenya quizzes ona Kenya breaking news na vitu vingi. Tengeneza site yako leo na ipe wakati ito grow, ni biashara bora kwanza wakati huu bado ni kitu jipwa afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…