TMAN8
Senior Member
- May 25, 2012
- 165
- 41
Kama una kazi yoyote inayohusiana na graphics designing, kama ni image ya kawaida, logo, business card, flier, poster, album cover etc. unanitumia material na maelezo ya jinsi unavyotakiwa iwe, then nakupa price, tukikubaliana na kufanyia kisha nakutumia bila kupoteza muda. ni email na tigo/m-pesa ndivyo vinavyohusika hapo. Pia tunaprint T'shirt kwa heat press machine na screen printing kwa kiwango cha ukweli. check kwa 0755869966 na bull82001@yahoo.com​