Online E-library

Aurelio_CSM

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
57
Reaction score
22
Habari za jioni.

Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule za sekondari

na mpaka sasa hv shuleni kwangu tunaitumia ninaomba ushauri wenu jinsi gani naweza nikaimprove mpaka sasa hv ina periodic table,dictionaries za lugha kama 5 , scientific calculator, physics calculators, chemistry calculators including periodic table calculator.

Naomba ushauri wenu kitu gani nikiongeze na pia kama kuna mtu anayetaka kujua zaidi au kama utataka niiuzie shule yako unaweza kunitumia email kwa aureliochelestino@gmail.com. jioni njema
 
Ushauri wangu ni kuwa internet ni world wide library....

sijui una maana gani unavosema umetengeneza software (online library)
 
ni website ambayo ina notes like an ebook ila yenyewe ni web based na ndani yake ndo kuna hizo calculators
 
Toa link (au namna ambayo tunaweza kuitembelea) ili kuona inafanya kazi namna gani na hapo ndo unaweza kupata ushauri ya jinsi ya kuiboresha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…