Online dating

Hahaaa dah nimecheka sana aisee! Kwahiyo huyo mbaya akabembelezwe na nani acha roho mbaya wewe!
 
Mademu wengine humu nahisi km maguluguja tu,ukibahatika kuwaona
 
ngoja sie wabaya tupite pembeni..
ila nawapa ushauri..msiwe na hizi tabia za kivulana...kumtamkia yule mzuri halafu huyu mbaya,hawakujiumba so mpite kimya tu mmwachie aliewaumba.mambo ya kuwatamkia sio mazuri kabisa..hawakujiumba.
duniani tuko safarini...njia za hatari tunapitia..inaweza tokeadada unaemwita mrembo kalala usiku ghafla nyumba imeshika moto katika kujiokoa uso ukaungua..haya utamwita tena mrembo? hiyo sura atayoanza kuwa nayo hapo atajiskia huru kutembea hata barabarani?
ama wazeni leo lulu kaingia jikon kupika ghafla mtungi wa gas ukalipuka akasavaivu ila mwili haufai atakuwa lulu tena??
jifunzeni
 
Hahahaaa hatari sana...
Utafikiri kalamba ndimu na ukwaju wa mpemba mkaanga chips!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…