mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 842
- 1,546
zinatumika mkuu sema nyingi za beberuHivi Tz kuna online dating kweli?😅
mambo yamebadilika sn mkuuMambo yanaenda mbio sana hasa nikikumbuka nilivyokuwa nakutana na kishtobe wangu vichochoroni.Siku hizi ndiyo mnaita "dating"! 🤔
Nitajie dating site zinazotumika Sana siku hizMwingine badala ya kuweka picha yake anaweka picha ya vitu anavyomiliki kama maua vikombe makabati mbwa au wine aliyokunywa jana.
mwingine anapiga picha miguu yake sijui kucha hlf ndo inakuwa picha yake ya profile😁
Mwingine kaweka profile vizuri na picha yake lakini ukiongea naye anakuambia "mi sipo hapa kwa mambo hayo". Yani ni full vituko.
JFNitajie dating site zinazotumika Sana siku hiz
Wee usiniambie 😃😃🤔... kumbe na hii nayo ni dating site😌
Picha za ku download mtandaoni1. Mtu ameweka picha kwenye page yake kumbe sio yeye bali ni picha ya rafikiake/mdogoake au nduguake gani sijui.
Midume hiyoPicha za ku download mtandaoni
zipo nyingi tu moja au mbili zimeshatajwa na wadau apoNitajie dating site zinazotumika Sana siku hiz
HaahaaaMidume hiyo
Tinder, bumble, badooNitajie dating site zinazotumika Sana siku hiz
habari ndio hiyo, kazi kwakoWee usiniambie 😃😃🤔... kumbe na hii nayo ni dating site😌