Online Comedy bora kabisa kwa sasa hapa Bongo

Mau fundi kwangu mkali akifatiwa na joti na Mr beneficial na bwana mjeshi
 
3 vijimambo na jambo
 
Hapana Mkuu....kuna wale anakuwa yupo kwenye gari hivi au popote ansjipigisha simu kama anaongea na MTU mwingine.
Mfano m1 yule jamaa Mpemba Wa yanga.

Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
Hii post inamhusu Claim tz na kuna jamaa mwngne pia ana hyo mambo..kwa kweli somtyme miyeyusho pakikosekana ubunifu
 
"Nikwambiee,yule demu wako mwenye manyonyo makubwa anaolewaa"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…