Mama mtata huyo, muda wote haachani na Ima wake!kuna mama ima nae ni kiboko
Mama mtata huyo, muda wote haachani na Ima wake!
Mama mtata huyo, muda wote haachani na Ima wake!
Huyo Oka-Martin ndiyo Tin white au!Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu
2.Oka-Martin
hapana ni chalii mmoja yuko vzuri aisee akishirikiana na jamaa wakuitwa carpozaHuyo Oka-Martin ndiyo Tin white au!
uko sahihi mkuu mimi sijaona kabisa kiwango pale zaidi ya kutia aibu.Halafu sijui kwanini sina mzuka na Ebitoke
Nitafanya kumcheckhapana ni chalii mmoja yuko vzuri aisee akishirikiana na jamaa wakuitwa carpoza
kuna yule mc pilipili sijawahi kumwelewa,,,,et ni mchekeshaji cha ajab yy ndo huwaga anacheka badala ya sisi wachekeshwaji kucheka,nadhani yule hujichekesha mwenyeweAisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu
1.Joti
2.Oka-Martin
3.Anko zumo &Mai zumo
3.Mr Beneficial & Bwana Mjeshi
4.Babu K
5.Claim tz
6.Ebitoke
7.
8.
9.
Kupitia hzi comedy sku yangu huwa inaenda mbashara sana
Unasema???hapana ni chalii mmoja yuko vzuri aisee akishirikiana na jamaa wakuitwa carpoza