Online application kwa udom, udsm na Mzumbe

True colour

New Member
Jul 28, 2019
3
0
Wana jamii forum kama kuna mtu kajaribu kufanya application leo kwa vyuo vya udsm, Mzumbe na udom anipe details, maana nimejatibu had nikalipia but kipengele cha index number kinagoma kuleta matokeo
 
Wana jamii forum kama kuna mtu kajaribu kufanya application leo kwa vyuo vya udsm, Mzumbe na udom anipe details, maana nimejatibu had nikalipia but kipengele cha index number kinagoma kuleta matokeo
Una uhakika namba unaianfika vizuri ikiwa na mwaka wa kumaliza mwishoni?
 
Tatizo Leo lilikua necta walikuwa wanashindwa kuingia kule kupata taarifa zako jaribu now Iko vizuri
 
Back
Top Bottom