princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,063
Nzito kama UjiAna sauti nzitooo
Aisee.!!Ana saut nzur pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bac sawa.Ukishajua kama analipwa au anajitolea itakusaidia nini kipindi hiki cha ujenzi wa viwanda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni echu Mamalai aikwereki nimekumanya Aseeh.!!Anaitwa Sigala sio sigara
Kumbe hata wewe ume notisi...jamaa ana bonge la voice.
Very True dingii.Hii idea kama sikosei ilianzishwa na Regina Mwalekwa (Mziwanda) wakati yupo pale Clouds, na ilikuwa kama ki segment sponserd na NBC, mkataba ulipoisha naona wakaamua kukiendeleza hivyo hivyo.
Masikitiko yangu siku zote huwa najiuliza hivi bila kuulizwa hayo maneno yooote, ambayo kwa sehemu kubwa huwa mapya masikioni kwa wengi..wasingefanya juhudi zozote za kuhakikisha jamii tunayafahamu?
Au kwao ni fahari kujiona wao ndio wanajua na sie wengine hatujui, wamejifungia tu ofisini mpaka waulizwe.
Na nilichogundua ni kuwa mengi ya yale maneno anaandaa mwenyewe Oni, na yule Bwana yeye hujifanya kuuliza, na kwa bahati mbaya wanachagua zaidi maneno yale ya 'ashakum'
Pamoja Dingii.Very True dingii.
hata wakifanya juhudi ya kutujuza hatutayatunia kwa sababu tumejikita kwenye kiswanglish [emoji23][emoji23]..Hii idea kama sikosei ilianzishwa na Regina Mwalekwa (Mziwanda) wakati yupo pale Clouds, na ilikuwa kama ki segment sponsored na NBC, mkataba ulipoisha naona wakaamua kukiendeleza hivyo hivyo.