Ongezeko la wanawake wafupi

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,742
Reaction score
3,319
Habari wakuu

Hii wiki kumekua na idadi kubwa sana ya watu mjini kutokana na pilika mbalimbali za sikukuu

Ila nilichogundua ni kuwa kuna ongezeko kubwa la watu wafup hasa wadada kiasi kwamba kwa mimi na kimo changu najihisi kama niko China hivi nkipishana nao tofauti na miaka ya nyuma

Sina lengo la kukosoa uumbaji ila nnadhan kuna sababu inayopelekea hili suala

Nini chanzo na tiba ya tatizo hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aliyekuumba wewe mrefu ndiye Mungu aliyewaumba wao wafupi.

Hebu fikria kama wote tungekuwa warefu, we unadhani ingependeza? Kwangu mimi ingekuwa inakera sana.

Nawapenda wanawake wafupi.
They look mwaaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ingekua na watu wengi wenye Hekima kama yako , Hakika Dunia ingekua mahali salama pa kuishi.

Machafuko yametamalaki Duniani kutokana na viumbe au watu kujiona ni bora zaidi .
Ni hulka ya shetani.a
Shetani alijiona ni bora na mzuri kuliko viumbe vyote. Akajisahau akajiona anaweza kuwa kama Mungu . Matokeo yake akalaaniwa na kuwa kiumbe mbaya kuliko viumbe wote.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakua umeongezeka urefu sana pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka "Huwezi Kuapiza Maji ya kisima yaliokata kiu yako"..... Ni laana kwako .......Kama ni mfupi au mrefu?. Mweusi au Mweupe?kuliko matakwa yako ukweli unabkia pale pale. Ww ni AKILI NDOGO!!!!!
 
Hivi ufupi unaanzia wapi?ufupi wa miguu au kifua kwnda kichwani?

Kila anaejione ni mrefu basi na yeye ni mfupi ,kwa mfano ukienda ulaya na amerika watu ni warefu sana hivyo hata mtoa mada na wewe ni mfupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…