Ongezeko la posho za wabunge kwa 185.71% na Tanzania tunayoitaka

maisha yamepanda kwa wabunge kule dodoma lakini kwa sisi wananchi tuliowapigia kura maisha yamezidi kushuka.
 
Makinda anasema bila shilingi laki moja huwezi kulala guest house yoyote pale dodoma. Pia anasema garama za nyumba dodoma ziko juu sana. Mi naona ni kuzidi kuwaongezea ugumu wa maisha wakazi wa dodoma maana ni kama anawashawishi wamiliki wa nyumba wapandishe bei. Ingependeza sana mada hii ingejadiliwa kwenye midahalo ya television akaalikwa makinda, kashilila, nape na zitto.
 
Tunataka tz nyenye haki na usawa.ila hii tz ya sasa ni ya viongozi na wabunge tu,kama kweli ccm inawajali raia wake basi lazima wamwadibishe huyo ma makinda,mbona ktk kusaini mswada wa katiba mpya ccm ilimshauri kikwete kuongea na vyama vya upinzani?au NDIO WAMEMWAMBIA MAKINDA AWADHALAU RAIA?mbona akina januari, nape wanamkosoa makinda wakati kila issue kubwa lazima ccm itoe maelekezo na msimamo,hizo siasa tu hawana ukweli wowote,kama kweli basi wachukue hatua kama wao na chama,sio kudhihaki watz.
 
Kazi yao ni kulumbana tu kila wakikaa bunge huku posho ndo wanataka ziongezwe bila kujali kilichowapeleka bungeni
 
Back
Top Bottom