AMon2012 Member Joined Oct 31, 2021 Posts 24 Reaction score 33 Jan 24, 2022 #41 Kima cha chini 850000 alafu punguzeni masaa ya kazi kutoka 8-6,mfumo wa likizo niwakikoloni watu waanze kwenda likizo kila baada ya wiki 6 anapumzika wiki 2.watu washateseka sana oneni aibu.
Kima cha chini 850000 alafu punguzeni masaa ya kazi kutoka 8-6,mfumo wa likizo niwakikoloni watu waanze kwenda likizo kila baada ya wiki 6 anapumzika wiki 2.watu washateseka sana oneni aibu.
Mpandisha mishahara JF-Expert Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1,742 Reaction score 1,562 Feb 11, 2022 Thread starter #42 Kijukuu cha ngoyayi said: Nenda page ya ccm uandike hili chapisho mkuu maaana bi hangaya huwa ni mpitiaji wa comment sana mitaa hiyo Click to expand... Unaijua ID yake?
Kijukuu cha ngoyayi said: Nenda page ya ccm uandike hili chapisho mkuu maaana bi hangaya huwa ni mpitiaji wa comment sana mitaa hiyo Click to expand... Unaijua ID yake?
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,526 Reaction score 6,303 Feb 11, 2022 #43 kwani watumishi wenyewe wanasemaje? wapewe pole sana
N notkel004 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 525 Reaction score 381 Feb 22, 2022 #44 Smart911 said: Poleni sana... Subira yavuta kheri... Click to expand... Ikichoka kuvuta heri itavuta bangi😅😅😅
Smart911 said: Poleni sana... Subira yavuta kheri... Click to expand... Ikichoka kuvuta heri itavuta bangi😅😅😅