Ongezeko la mshahara Tangu 2015 mpaka 2022

Mishahara inatofautiana kwasababu ya unachozalisha na risk aliyonayo mtumishi. Haiwezekani mishahara ikafanana
 
Duh sio pos
 
Mikopo mliifanyia nini? Kuna hotuba ya Nyerere anasema mnadai mnadai muongezewe mishahara hv mnakumbuka unaemtumikia anashinda njaa na wengine ndo wamevunjiwa ofisi zao , sijui mmelifanyia nn taifa kudai muongezewe mishahara ? umeme full kukatika ( TANESCO ) ,Rushwa, wizi , ukabaji , ujambazi + panya road umerud kwa kasi mno
(JESHI LA POLISI ) ,Mahakamani kesi za kubumba ndo zimetawala ( MAHAKIMU +WANASHERIA WA SERIKALI ) Wanajeshi kutwa kutembea na wake za watu , walimu wanatembea na wanafunz , madaktari ndo wanaenda lunch kuanzia saa 6 kurud saa 9 , Viongozi + Wawakilishi wetu wanajali matumbo yao tu na kusahau kiapo chao cha kuwawakilisha wananch , HALAFU MNADAI MUONGEZEWE MISHAHARA KWA LIPI HASA MLILOFANYA , Mfyeuuuuu !
 

Mwendazake alikuwa mbinafsi mno kiasi kwamba alishindwa kuwaongezea mishahara watumishi ndo maana hajadumu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…