naomba uliza, eti mwalimu mwenye degree moja anaefundisha sekondari analipwa shilingi ngapi? na aliyeishia 4m4 akasoma ualimu grade "A" na anafundisha shule ya msingi analipwa shilingi ngapi?
Hivi ongezeko linagusa wakufunzi wa vyuo vya elimu ya juu?[/
vyuo vya Elimu ya Juu ndivyo vipi? Unamaanisha vyuo vikuu? Huku kuna wahadhiri na Maprofesa tu.