kuna taarifa zimezagaa kua walimu wameongezewa mshahara asilimia 75, naomba majibu yenu yenye uhakika coz kuna ndg yngu yuko kijijini ni mwl ananisumbua ili apate uhakika. Great thinkers comment .
I can bet, an increment of 75% is very unlikely, labda kwa baadhi ya walimu tu. Nikitizama bajeti ya serikali iliyopitishwa juzi, gharama za mishahara (Salaries and Wages), zinakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 26% tu kutoka makadirio ya mwaka wa fedha unaoishia 30 June 2013.
zitabaki tetesi mpaka itakapofahamika vinginevyo make naona toka april mpaka leo bado majibu yamekaliwa kitu ambacho ni tatizo kubwa hapa tz make ishu zinawahusu watu lakini zinavyofichwa kila kitu siri,mikataba siri,mishahara siri, come on
..hivi ni kwanini watz hatusaiadiani hata kwenye ishu ndogo kama hizi?,stinking boresome!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.