Jamaa mmoja alitoa hints za kupata viewers wengi YouTube ilihal yy mwenyew kashindwa kuzitumia kwani ana viewrs kumi wakati video Ina miaka minne na miezi kadhaa...binadamu huvutika zaidi na kupata nguvu pale wanapoona watu waliofanikiwa kwenye field,aspects mbalimbali ndo wawape inspiration...leo hii akisimama mtu Kama Dangote,Bernard Arnault,Sergie brin,Musk au hata tu SSB,Warioba,Kikwete unaweza kupata relief fulani kwa kuangalia walivofanya...wachache sana wanaoridhika na maneno matupu,watu wanataka kusikia hustles zako mbalimbali ulizopitia hii italeta maana zaidi, mwanajeshi aliyepigana vita ya kagera ndiyo ana hadithi tamu zaidi kuliko mwandisho anayekusimulia kwa kusoma vitabu.