Ongezeko la hizi pesa mtaani nini tatizo?

Ongezeko la hizi pesa mtaani nini tatizo?

Mzunde

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
141
Reaction score
104
Wakuu wasalaam.
Jamani kumekua na ongezeko la shilingi 100, 200, na 500 huku mtaani, hii inamaanisha nini kiuchumi? Naomben kujuzwa tafadhari
 
Vitumbua bei gani kitaa kwako!
 
Wakuu wasalaam.
Jamani kumekua na ongezeko la shilingi 100, 200, na 500 huku mtaani, hii inamaanisha nini kiuchumi? Naomben kujuzwa tafadhari
Inamaanisha mtaani kwenu siku inawezwa kusukumwa kwa kipato cha chini.yaani mnaishi kwa daily consumption yenu ni subsistence level
 
Kwamba hela kubwa hazizunguki....tumebaki kuzungusjiana 200 na 500 kama makonda wa daladal.
 
Hata mm nashangaa tulizoea Sana kuacha mia zetu kwnye daladala sa hv no
 
Kwamba hela kubwa hazizunguki....tumebaki kuzungusjiana 200 na 500 kama makonda wa daladal.

Watanzania mna utani kweli kweli! Siku hizi kila siku sharti nikutane na silver ya 500 mfukoni mwangu. Nadhani ile ya 500 noti inaendelea kuondolewa. Tuzizoee tu hizo silver za 500..Nimecheka sana.
 
Wananchi wameshift from high budget line to a low budet line... Yani expenditures zao zimetoka kwenye matumizi ya large transactions to small transactions.
Mf kama ulikuwa unanunua mafuta ya kula kwa dumu la lita tano, sasa unanunua kwa vibaba. Kama ulikuwa unanunua kiroba cha mchele, sasa unanunua kilo moja moja...
 
mbaazi kilo sh 150 sema tunawabembeleza wazalendo wakulima watuuzie kwa 100 au 50
 
Hali ya uchumi kw mtaa co nzuri ndo mana silver znaonekana kwa wingi ....
 
Back
Top Bottom