jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 506
Italy
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey
Ongezea zako
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey
Ongezea zako
Ndo Mana nikasema timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusiItaly - Balotelli
Spain - Marcos Cena
Nimeshawahi kuwaona hao.
Kweli mkuuJapan
S.korea
Czech republic
China na Japan wapoChina, Japan, India, Russia, Korea Zote, Iran.
Sijazungumzia hizo timu mm nimezungumzia timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusiVipi timu ambazo huwezi kukuta mzungu
Hahha yani waafrika mindset zetu ndio anguko letu, ila nchi nyingi afrika hazina wazungu ila hilo sio tatizo ila sisi sasa...Timu ambazo huwezi kukuta wazungu:
Tanzania
Kenya
Uganda
Ghana
Nigeria
S. Sudan
Zambia
Uzi tayari.
Peter Odemwigie alikua national team ya NigeriaTimu ambazo huwezi kukuta wazungu:
Tanzania
Kenya
Uganda
Ghana
Nigeria
S. Sudan
Zambia
Uzi tayari.
Italy yupo Ogbonna asili NigeriaItaly
Argentina
Spain
Iceland
Croatia
Turkey
Ongezea zako
Sio mzungu yulePeter Odemwigie alikua national team ya Nigeria
Kitendo walichofanya Argentina kinasikitisha aiseeItaly yupo Ogbonna asili Nigeria
Spain yupo Moriba mweusi amecheza under 17 mwaka jana.
Argentina waliuua watu weusi..hao wengine huwezi kukuta mweusi ingawa Iceland wapo watu wa west Africa muda sio mrefu machotara wataonekana.