"Ongeeni midomo isiwanuke. . ."

Ndio, jina la mama linahusika sana.

Yaweza kuwa kati ya haya

Sayi, misoji, Lemi, shoma, nchama, mbuke, igela.

Kongosho Hehehe asante wifi.

Ehhhhhh nifundishe. . . nataka akitoka kazini leo nimpokee kwa mbwembwe.

Alafu jina nalo muhimu?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, mie best ako ndo maana nakuonya mapema.

Ushazeeka huna kifua chakuhimili mikiki tena, huyu Lizzy atakusumbua na mumewe atakupasua korod.....ni.

Konnie siku zote najua we best wangu,kumbe........poa lakini.
 
Last edited by a moderator:
He he he,wewe ni kiboko.

Unamwachia roho aitumbue tumbue.
halow! halow!! Bishanga kumbe na wewe umo lakini huvumi
 

Sio mbaya....wekeza kotekote!! Heheh Ngarerooo Mishebeduo Classic......UTAIPENDAAA!!!
 
Ndio, jina la mama linahusika sana.

Yaweza kuwa kati ya haya

Sayi, misoji, Lemi, shoma, nchama, mbuke, igela.


Hhhmmm. . .alafu yanatumikaje wifi?

Kongosho
Enhee ni namba mbili hapo juu. . .nasubiria somo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa phina jumapili kanisani mchungaji atakumaliza aiseee hahahaaa
Hivi bado anawatandika bakora hadi leo?

hahaha..alichakaza baba mtu mzima jana!
Lakini he wont find out about this eh..usiwe na shaka!
 
Last edited by a moderator:
Lizzy, ukitaka akupe kitu hata alichoficha uvunguni, anza kumwita Ng'wana Lemi nkoyi . . .

Assuming Lemi ni jina la mama ake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…