eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Ndugu yangu utapoteza muda tu kuleta hizi porojo,watanzania hata hawana muda wa kukusikiliza wao wameshaamua bora nusu shari kuliko shari kamili....muulize Humphrey Polepole,alikuwa anasikilizwa na kupendwa balaa lakini kaanza tu kumshambulia nusu shari wa watanzania tayari tumeshaanza na kumpoteza......nenda na wakati maana hata maandiko yaliandika.....Kila jambo na wakati wake....Kwa sababu lile dili la kumkaribisha Lowasa Ukawa na kudai sio fisadi liliwashangaza watu.
Hivyo akisimama kuongea watu wanasikiliza kujua atakuja na mpya gani.
Wana jf ni mara ya tatu katika mikutano yake ilianza kule mbeya ikaja arusha na jana mwanza kila ikifika muda wa mwenyekiti wa chadema kuongea hata kama watu walikua wakisemezana basi wananyamaza ili kutega sikio lao kumsikiliza huyu jamaa nimekua najiuliza kwa nini ila sijapata majibu halafu ni yeye tu uwanja unakua tulivu mpaka nashangaa ukiacha baba wa taifa ye ni wa pili watu wote wanakua makini kumsikiliza kwa nini inakua hivyo??!!
anafanana sana na baba wa nchi kuanzia sauti hadi face ni kopraiti hata madaraka na makongoro hawamfikii
anafanana sana na baba wa nchi kuanzia sauti hadi face ni kopraiti hata madaraka na makongoro hawamfikii
Ndugu yangu utapoteza muda tu kuleta hizi porojo,watanzania hata hawana muda wa kukusikiliza wao wameshaamua bora nusu shari kuliko shari kamili....muulize Humphrey Polepole,alikuwa anasikilizwa na kupendwa balaa lakini kaanza tu kumshambulia nusu shari wa watanzania tayari tumeshaanza na kumpoteza......nenda na wakati maana hata maandiko yaliandika.....Kila jambo na wakati wake....