Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema:
Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo, sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji, zoezi linaweza kupita na Watu wakakosa nafasi ya kujiandikisha.