Hawa ni watoto wa shule likizo ikiisha hutaona tena hizo thread...zamani mbona threads za mapicha picha tumeziona nyingi tu? Kanaibuka kajamaa ...leo kanasema kana miaka 21 hakajawahi kujihusisha na mapenzi...baada ya saa tano atakuja na uzi mwingine...mimi ni kijana wa miaka 28 natafuta mchumba...siku hiyo hiyo usiku ataanzisha uzi mwinge 'nina miaka 35 nimeoa' mke wangu ana jamba sana usiku naombeni ushauri!