napenda mwanamke anaejiamini kama weweWapi dear, tunaegemea kote kuwili, kupanda ladder za watu na kulea vi ladder vyetu vichanga... BUT, Nitafika that much i know!!
napenda mwanamke anaejiamini kama wewe
Sijakuelewa hapo bold umri au humu jf?Mmmhh mimi sina jibu kamili..I am not an old guy here,lakini all in all naungana na wengi matokeo ya mechi yatakuwa ndio msingi wa hizo PM's na uzuri au ubaya wake. mechi ikiwa kali na nzuri kwa wote inaweza kuwa balaa,mi sitajaribu maana ndoa yaweza kuwa doa pale nitakapojikuta imekuwa 10 night stands in 2 months or less!!
Sijakuelewa hapo bold umri au humu jf?
I mean humu Jamii forums.not by age my dear I am 30+ years old
Sio mimi nimeuliza but nilikua na shauku with the answer... Asante...lol.. (don't get me wrong thou)
Worry not, I wont get you wrong!!
Hii thread bado inasonga tu wajameni......................lol....
BTW: Am looking for a partner hapa, just for one night stand,
hapana zaidi.....
she will not regret lol.......
mkigongana mnaachana ki JF hamna kuendeleza mchezo, labda mkinogewaMlio experience hii kitu hebu mtujuze, baada ya kupiga tukio hali ikoje?PM na vikwerombwezo vinaewndelea?
EMT utamuweza kwa kupenda kinyume, kwenye kiswahili alipata A
Nimefurahi nawe umegundua hilo, nilikua lakini naikubali saana ya kutafuta one's own co-oparate world... lol
Halafu nyie mtafuta shari kamili eh? Mna maana gani kusema kuwa napenda kinyume nyume?? Nitawatafutia shari kwa mods sasa hivi. lol.
Kwani uongo?? lol hebu niambie you msemo unakubaliana nao kama ulivyo..
"Nobody can go back and start a new beginning, but anybody can start today and make a new ending" - Annonymous
Nimeusoma nikaona maweruweru. Utafsiri kwa Kiswahili.
I see leo you are trying my patience kuhakikisha jukwaa la siasa has not changed my signature..lol.. sijui itasaundi pouwa...
come on EMT I have tried it does not sound good!! i have genuinely tried.. i give up narudi huku Heri nusu sharikuliko shari kamili
I can see so far it hasn't changed your signature. Fingers crossed. I am trying to understand that phase. It sounds to me like although you can better your life, you can't change your past. You past will always be with you for the rest of your life, though you can make some changes to better your life.
The fact is i found it somewhere, you know a lot of people tend to take a quote literally the way it is,, i believe the original owner meant good but i myself do not agree too (so found you an easy one there and messed up the chance...lol...) Enways i do belive as much as we can not go back to start a new beginning a person can not have/appreciate a new beginning by leaving every thing behind, the behind is what makes us who we are and better/worse people thus a part of your new beginning...
Hapo kwenye red itabidi niwe mgumu sasa.
Ofcoz you have to..lol.. Your signature demands you to be so...