Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,513
vinaendelea kama kila mmoja karidhika na mwenzie! Buji leo vipi mkuu?jana umelalaje maana hizi thread c mchezo
alikuwa na hiyo stand akitaraji itakuwa one nite ila sasa anatafakuri atajitoaje manake inogile:biggrin1:
Umeamkia wapi leo
Ubungo Stand, ha ha..ndiyo mana one nite stand imemkaa🙂)
ha ha ha he he kweli Bujibuji nilikuwa sitaki kucheka lakini nimejikuta naangua mbavu...te te te ...
We bado?Hivi kumbe wapo?
One Year StandOne night stand, 2 nights stand, 3 nights stand, 4 night stand, 5 months stand =?
Mlio experience hii kitu hebu mtujuze, baada ya kupiga tukio hali ikoje?
PM na vikwerombwezo vinaewndelea?
Unaingia na ID mpya:biggrin1::biggrin1:BjBj experience naamini hua tofauti hivyo na outcome tofauti... kama it was a great one nite stand i guarantee hizo PM ndo kabisaaa... ikiwa tofauti unakwepa hata kuchangi post ambayo kapita mwenzio....lol