Stereo na one da incredible wapo poa, sema swaga zinatofautiana. Si unajua stereo ana style yake na "one" pia ana style yake but all in all they are good.
Masela ! kambi sisaliti siasi/
Nawahasi nakula nyasi kama mnyama farasi/
Sina wasi me nachana we unadance/
Bila wasi hii nafanya me nna chanya we una hasi/
Bado unafugwa kama kuku mwenye mdondo/
Verse kubwa na imekazwa kama buti ka msela nondo/
Me sisajiliwi nkicheza nacheza ndondo/
Sifagiliwi kitambo kama mgambo mtaa wa congo/