Sasa hawa watoto unawaona wana afya nzuri ao wanaumwa? they are over weighted na hatarini ku-develop magonjwa mengi. Hii sio afya nzuri, ni uzembe wa wazazi
Hiko sio kitu cha kuomba kabisa, na wala sio afya njema na mlo kamili hapo, super size me? No way, hiki kitu wenzetu wanatumia hela nyingi na kampeni kutokomeza, sio kitu kizuri hicho hata kidogo
kama mmeliona hilowana JF basi sawa huo ni ugonjwa mbaya ambao hapa bongo kuna watu hasa wenye nazo wanawaachia watoto kula kupita kiasi matokeo yake wanapata kisukari nk basi tuwe makini zaidi
kweli baadhi ya watanzania bado hawelewi mambo..! pamoja na wataalamu wa afya kufafanua madhara ya magonjwa yatokanayo na unene lakini bado mtanzania huyu anausifia unene kuwa ni afya itokanayo na lishe bora.aah hata wewe msomi? ulieweza kujiunga na JF?