Nimekupm mkuuUshauri mbovu sana, virus zinajificha kila aina ya sehemu na hauwezi kujua exe ipi ni virus kwa kuiangalia. Kama una win 8 au zaidi una anti virus built in Windows Defender hakikisha unafanya update mara kwa mara. Kama una Win 7 download security essentials ya Microsoft nayo ni bure.