Kaka ujumbe wangu ni ule ule punguza jazba wakati unaongea na watu ambao huwajui vizuri. Nilijenga hoja ya kukwambia mimi sio mtutsi nikakupa historia ya wazazi wangu kwa ufupi tu. Wewe unakuja humu JF unajifanya unajua mambo ambayo kwa maandishi yako jinsi yalivyo, inaonyesha umesikiliza story za wakubwa zako, na story zenyewe unazileta humu zikiwa na makosa mengi ya details. Unadanganywa na watu kuhusu Kagame na wewe unaingia kichwa kichwa. Points zangu zinabakia pale pale kwamba mentality za kitanzania lazima zibadilike ikiwa tunataka kufika mbali. Kama moyo wako umeumia kwa sababu Kagame kapewa sifa anazostahili, sina cha kufanya kwa ajili ya kukuponya. Kagame licha ya madhambi yake mengi, bado ameweza kufanya vitu vingi wakati sisi tukiwa tumekwamba kwenye majibizano mengi ya wanasiasa. Tanzania yetu kila mtu anajua kila kitu, very wrong concept.
Kaka nina uhakika hata mimi hunifahamu, na kama hunijui huna uhalali wa kusema kuwa jambo nilisilolijua ni kama usiku wa giza. Watutsi ninawafahamu vizuri sana. Labda ni vyema tuishie kwenye ngazi hii hii ya maongezi.Filipo
Jambo usilo lijua ni kama usiku wa kiza.
Ni vyema ungenyamaza na kujifunza wanayo andika wajuvi.
Huwezi kuitwa mjinga wala mpumbavu kwa kutokujua.
Kwa haraka nimegundua wewe ni mtu wa aina gani.
Usilazimishe, weka sikio lako chini utafaidika dogo.
Hao Rwandese-Tutsi tumewaoa na kujukuu nao
Tunawafahamu, Tunawajua kinaga ubaga.
What agenda nimekaa na three years hiyo ndo misconceptionAmazing...yaani unadhani wnakuhandle burebure tu...they always have their long term hidden agendas....kalia hivohivo eti wanakuhandle...
Embu tupe mfano wa mentality ya kitanzania kwa tarakimu na asilimia, sababu unaongelea neno general sana unalolilenga kwa uma wa watu zaidi ya million 50.Kaka ujumbe wangu ni ule ule punguza jazba wakati unaongea na watu ambao huwajui vizuri. Nilijenga hoja ya kukwambia mimi sio mtutsi nikakupa historia ya wazazi wangu kwa ufupi tu. Wewe unakuja humu JF unajifanya unajua mambo ambayo kwa maandishi yako jinsi yalivyo, inaonyesha umesikiliza story za wakubwa zako, na story zenyewe unazileta humu zikiwa na makosa mengi ya details. Unadanganywa na watu kuhusu Kagame na wewe unaingia kichwa kichwa. Points zangu zinabakia pale pale kwamba mentality za kitanzania lazima zibadilike ikiwa tunataka kufika mbali. Kama moyo wako umeumia kwa sababu Kagame kapewa sifa anazostahili, sina cha kufanya kwa ajili ya kukuponya. Kagame licha ya madhambi yake mengi, bado ameweza kufanya vitu vingi wakati sisi tukiwa tumekwamba kwenye majibizano mengi ya wanasiasa. Tanzania yetu kila mtu anajua kila kitu, very wrong concept.
Siku nzima ya leo nimeliongelea hili suala, please give me a breakEmbu tupe mfano wa mentality ya kitanzania kwa tarakimu na asilimia, sababu unaongelea neno general sana unalolilenga kwa uma wa watu zaidi ya million 50.
Tunajifanya tunajua kila kitu, compared na which countries, on what scales. Please if you coming with accuses don't come with empty generalized words containing your point of views, your point of views can be wrong. Bisha
Muda wa kujibishana na kila mtu kwa suala moja tu huwa sina, wewe unaibuka jioni unarudia mada ile ile.Embu tupe mfano wa mentality ya kitanzania kwa tarakimu na asilimia, sababu unaongelea neno general sana unalolilenga kwa uma wa watu zaidi ya million 50.
Unasema kila mtu anajua kila kitu, nakuhoji, compared na which countries, on what scales. Please if you coming with accuses don't come with empty generalized words containing your point of views, your point of views can be wrong. Una lako wewe behind the scene
PAKA anambinu nyingi za propaganda, to say a fewKama wamekutuma sawa!
Lakini ukweli uko pale pale!
Ni watu negative lakini ukiwambia mapovu yanawatoka midomoniJudging by the comments hapa, Watanzania ni watu bitter sana
Jioni ndio muda mzuri wa kuperuzi huku, sitaki majibishano pia, nataka vithibitisho. Kama hutaki majibishano na huna vithibitisho, usije na generalization za kimihemuko.Muda wa kujibishana na kila mtu kwa suala moja tu huwa sina, wewe unaibuka jioni unarudia mada ile ile.
Jinsi unavyoandika points zako, jinsi unavyolazimisha hoja zako, ni ushahidi wa ujuaji wetu sisi watanzania. Tazama jinsi ambavyo wabongo tunavyoingilia professins nyingi za watu, kuanzia makocha wa kigeni mpaka mambo ya kitaalam yanayofanywa na mawaziri wetu, kote humo ukitazama historia yetu jinsi tunavyoishi na watu wenye elimu zao utagundua kuwa mwisho wa mahusiano yetu kikazi huwa sio mzuri, kwanini?, kwa sababu tunapenda kukurupukia na kuyaingilia mambo ya kitaaluma, ambayo bahati mbaya wengi wetu hatuna ujuzi nayo. Mashirika mengi ya nchi hii yameyumba sana na kwa sababu wanaopewa dhamana ya kuyaongoza hawaishi kuingiliwa na mabosi wao kikazi, na madhara yake wanashindwa kuleta tija inayoonekana. Mfano ni richmond, jinsi ambavyo mchakato mzima wa upatikanaji wa kampuni ya uzalishaji umeme ulivyoingiliwa na ofisi ya waziri mkuu, madhara yake uchumi umeyumba na haujaweza kurudi katika hali ya zamani. Hiyo ni mifano michache tu ya ujuaji wetu. Ipo mingi sana.Jioni ndio muda mzuri wa kuperuzi huku, sitaki majibishano pia, nataka vithibitisho. Kama hutaki majibishano na huna vithibitisho, usije na generalization za kimihemuko.
Eti shida ya watanzania, as if baba na mama yetu ni mmoja.
Uko sawa mkuuni bora yule anayeenda kuiba kwa ajiri ya watu wake kuliko hawa ambao wanacho lakin wanagawa bwelele kwa wazungu
Dah, umeandika kilekile bila kidhibitisho tena, hayo si ni matatizo worldwide bro. Hayo ni matatizo ya kibinadamu na sio binadamu wa taifa fulani. OK maybe you's right, embu nipe mfano wa nchi hakuna hizi elements.Jinsi unavyoandika points zako, jinsi unavyolazimisha hoja zako, ni ushahidi wa ujuaji wetu sisi watanzania. Tazama jinsi ambavyo wabongo tunavyoingilia professins nyingi za watu, kuanzia makocha wa kigeni mpaka mambo ya kitaalam yanayofanywa na mawaziri wetu, kote humo ukitazama historia yetu jinsi tunavyoishi na watu wenye elimu zao utagundua kuwa mwisho wa mahusiano yetu kikazi huwa sio mzuri, kwanini?, kwa sababu tunapenda kukurupukia na kuyaingilia mambo ya kitaaluma, ambayo bahati mbaya wengi wetu hatuna ujuzi nayo. Mashirika mengi ya nchi hii yameyumba sana na kwa sababu wanaopewa dhamana ya kuyaongoza hawaishi kuingiliwa na mabosi wao kikazi, na madhara yake wanashindwa kuleta tija inayoonekana. Mfano ni richmond, jinsi ambavyo mchakato mzima wa upatikanaji wa kampuni ya uzalishaji umeme ulivyoingiliwa na ofisi ya waziri mkuu, madhara yake uchumi umeyumba na haujaweza kurudi katika hali ya zamani. Hiyo ni mifano michache tu ya ujuaji wetu. Ipo mingi sana.
Kaka hayo yanayotokea kwingine mimi hayanihusu, naiongelea nchini niliyozaliwa mimi, ambayo nilizaliwa ndani ya ardhi yake zaidi ya miaka 40 iliyopita. Eti kwa sababu watu wengine wanatembea uchi basi na sisi tutembee uchi, eti kwa sababu wachina wanakula nyoka, na sisi tule nyoka!!!. Naizungumzia nchini, na ninapoiongelea ukumbuke kuwa mimi ni mzalendo kama yoyote yule unayemjua wewe. Lakini ukweli kwanini usisemwe?, kwanini uogopwe?. Tusipoambiana ukweli yule anayeuona kutokea nje, hataacha tabia ya kutudharau na kutucheka. Nayaandika haya ili yaweze kuchangia katika kubadilisha mindsets zetu.Dah, umeandika kilekile bila kidhibitisho tena, hayo si ni matatizo worldwide bro. Hayo ni matatizo ya kibinadamu na sio binadamu wa taifa fulani. OK maybe you's right, embu nipe mfano wa nchi hakuna hizi elements.
Ndugu kama unahukumu hivi sababu ya raia waliopo mitandaoni, ujiulize kwanza ni asilimia ngapi ya wa tz wapo mtandaoni, utakuta hata nusu haifiki.
Yani ww unawasema watu kwa tabia ambayo unaidepict mwenyewe. Alafu unawanyoshea index finger, angalia vitatu vinakuelekea wewe. Toa boriti lako kwanza, kwa sababu hata wewe jinsi unavotetea hoja yako na kuilazimisha, ni ushahidi tosha wa ujuaji wako.
Acha vihoja mkuu