Cdm itashinda,naamini hiki chama kina mkono wa Allah, katika uwepo wake,kadri watu wanavyoisema vibaya ndipo umaarufu unazidi.
Hapa ni lazima kwanza chama kijipambanue kiutendaji na kusimamia uwajibikaji ktk kuwatimulia mbali wale masalia kwani wakiendelea kauchwa wataambukiza sumu ile kwa vijana wengine chamani, so baada ya hapo ndio tuendelee na mikakati mingine.
Walitimuliwa madiwani 5 Arusha na 2 mwanza ndo ije kuwa hawa mburula wachache tu na kiongozi wao PREZZO.
Naona Zittophobia inazidi ku gain momentum, kila kukicha ni threads zaidi ya 10 kwa Zitto, ziwe zinamzungumzia kwa uzuri au kwa kwa ubaya, as long as jina la ZZK linatajwa, huku nu kumuongezea umaarufu!. At the moment, ZZK ndie the most popular politician in Tanzania as of now!. Kwa kwa wale ambao ndio role model wao, kwa wao ZZK ni Sterling, na sterling hauwawi!. Hata mumuue vipi, hafi!, alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo!.
Mkuu ZZK, thanks kwa kukaa kimya, please don't react kwa kila utumbo utumbo unaotupiwa humu!, ukireact, utombo utumbo mwingine, unaweza kutumbuka!.
Pasco.
,Tehtehteh!
Kama juzi alivyojitumbua ?

,
Kusema ukweli, kama ZZK angejikalia kimya, yaani asingeijibu ile thread ile, haya mautumbo utumbo yanatumbuka sasa, yasingelitumbukia humu jf!, wangeyamaliza wenyewe kwenye vikao vyao!. Now the pandora box is wide open!, utumbo wote nje, na mainzi ya humu jf yanavyozongea huo utumbo!. Mpaka kero!.
Mimi wasiwasi wangu ni huyo mpasua utumbo saa8!, wenzao CCM wanawakolimba watu wa aine yake, lakini Chadema, wanawangwe!, wasije wakamwangwe!.
P.
Kwa wewe Pasco mwenye maslahi na upande mmmoja katika wagombea watarajiwa hukutakiwa kuchangia huu mjadala na kama ilikuwa ni lazima kuchangia basi ungefanya hivyo objectively, lakini badala yake umechangia emotionaly kiasi kwamba umeishia kutukana watu tu bila kuweka hoja mezani.
Unajua mimi na wewe mara nyingi hatukubaliani katika mambo mengi hasa yanayohusu Chadema na nimekuwa nikikujibu kwa tune ile ile unayotumia kucomment lakini kwa leo nakuacha hivyo hivyo, nakupa zawadi ya krismas na mwaka mpya. Lakini utambue kabisa kwamba tukifanikiwa kuanza mwaka 2013 ukaandika utumbo kama huu ulioandika hapa utajibiwa utumbo. tena utumbo uliooza.
Heri ya x-mass na mwaka mpya wa 2013.
Heri ya x-mass na mwaka mpya wa 2013 "shemejii"Hahahahaha Pasco umeanza kutohoa kumbe siku hizi? good, keep it up "shemeji".
Ukimuachia FISI bucha atakula hadi mizani, Chadema kwa njaa waliyonayo hawafai kupewa nchi Nimeafuatilia migogoro inayoendelea ndani ya chadema na nimegundua tatizo ni dogo sana. KILA KIONGOZI ANATAKA AWE RAIS.
Hii ni dalili kuwa kuna watu wana njaa kali sana humo na mawazo yao yote ni kuwa wakiingia ikulu kitu cha kwanza ni kuanza kula mpaka washibe. Kwa nini Zito alipotamka anataka kugombea urais wanachadema wamchukie kiasi hicho? si wangesubiri tu wakati wa kupiga kura wamtose kuliko kuanza kumtukana hapa jf? Mbona kimewaudhi sana hiki kitendo? hapo kuna mtu ambaye mimi nadhani ndie presidential material hajasema kitu ... TUNDU LISU . huyu naye akifungua kinywa tu aseme neno rais bila hata kusema atagombea basi ngumi za uso zitaanza tena hapa JF.
Hizi dalili zote zimewatisha sana watanzania kiasi kwamba wameona kuwaachia nchi chadema ni sawa na kuwaacha fisi wakutunzie bucha lako, hapo ujue hakitabaki kitu.
MODS kama lugha niliyotumia siyo nzuri naomba muirekebishe kutumia neno fisi sina maana ya kutukana ni mfano tu wa mnyama kwa sababu nisingetumia sima kwa sababu simba hali nyama iliyokwisha chinjwa na nisingetumia mamba kwa sababu mamba wanakulaga mlo mmoja tu kwa mwezi lakini fisi haridhiki
Last edited by Farida Ponda; Yesterday at 23:11.
Zitto hakusema tuu anagombea urais alisema kigom awajiandae kumpokea Rais.Hiyo tuu inatosha konyesha kizazi chenu chote hakijaelewa na wala hakitoweza elewa hadi ipite miaka kama ya Newton na tuanaozisoma fikra zake. Aliposema ni Rais tayari keshauwa democrasia anayojifanya anaijua huyu "Adui Number Moja wa watanzania kwa kizazi hiki", sasa ukisema ufisadi , umaiskini , ujinga na maradhi kama maadui wa TZ tafadhali usisahau na ZItto.Kusema kuw andiye rais ni kuwa umeshajichangua ktk uteuzi wa ndani wa chama, na pia watanzania pia wameshakuchagua kam asi kujichaguaThis sociala psychopath is more dangerous than peopla can imagine.Ukimuachia FISI bucha atakula hadi mizani, Chadema kwa njaa waliyonayo hawafai kupewa nchi Nimeafuatilia migogoro inayoendelea ndani ya chadema na nimegundua tatizo ni dogo sana. KILA KIONGOZI ANATAKA AWE RAIS. Hii ni dalili kuwa kuna watu wana njaa kali sana humo na mawazo yao yote ni kuwa wakiingia ikulu kitu cha kwanza ni kuanza kula mpaka washibe. Kwa nini Zito alipotamka anataka kugombea urais wanachadema wamchukie kiasi hicho? si wangesubiri tu wakati wa kupiga kura wamtose kuliko kuanza kumtukana hapa jf? Mbona kimewaudhi sana hiki kitendo? hapo kuna mtu ambaye mimi nadhani ndie presidential material hajasema kitu ... TUNDU LISU . huyu naye akifungua kinywa tu aseme neno rais bila hata kusema atagombea basi ngumi za uso zitaanza tena hapa JF. Hizi dalili zote zimewatisha sana watanzania kiasi kwamba wameona kuwaachia nchi chadema ni sawa na kuwaacha fisi wakutunzie bucha lako, hapo ujue hakitabaki kitu. MODS kama lugha niliyotumia siyo nzuri naomba muirekebishe kutumia neno fisi sina maana ya kutukana ni mfano tu wa mnyama kwa sababu nisingetumia sima kwa sababu simba hali nyama iliyokwisha chinjwa na nisingetumia mamba kwa sababu mamba wanakulaga mlo mmoja tu kwa mwezi lakini fisi haridhiki Last edited by Farida Ponda; Yesterday at 23:11.