Ona wazungu wanavyodharau huduma zetu

Ona wazungu wanavyodharau huduma zetu

Hapa kaongea ukweli mtupu, chumvi kidogo sana. Kikiristo chake kipo swafi tuu. Kwani umeambiwa wazungu wote wanaongea kikiristo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi siwezi kumpinga mzungu maana madudu tumesikia na kujionea kwenye hospital zetu. Mnaobisha bisheni tu lkn mzungu kafikisha ujumbe
 
expats, and higher class of TZ citizens that can afford it. Sad really

Also little things that might be different is sharing the delivery room with another women, so the 2 of you are lying next to each other screaming 🙂 oh but their may be a sheet curtain between you.

I asked an expat midwife, she is living here TZ, where should I have my baby?


Ninamashaka kama kweli huyu kaandika ni mzungu, may be ni mtu toka jirani kaamua tu kufanya yake
 
Mi nilipenda tu alivosema, go to Kenya! Hehe! Tunawakaribisha, Kenya kuzuriii!😉
 
wanadharau au ukweli mchungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
ukwell mchungu, mi niña doctor namwamiania sana hapo Dar, alinisaidia sana wakati wa kujifungua kwangu, ila na mapungufu yake ya kuniandia dawa zisizoendana na ugonjwa. sijui huwa ni uchovu wa kuwa na wagonjwa wengi au ni nini?
 
Ukweli unauma!kujifanya mzalendo syo mpka ukubali vitu ambavyo haviridhi ktk jamii ...kwenye ukweli Sema kweli ....huduma za afya kwetu ni poor

OvA
 
shame on us....
niliwah umia mguu..nikaandikiwa sindano..sasa nesi alikuwa kanuna ..akiulizwa anajibu kwa mkato..kama an gubu..
sindano alinichoma kwenye tako hilo la upande wa mguu..na alitumia force kubwa kuiminya dawa kuroka kwenye bomba kuingia kwenye tako..maumivu yakawa double..nlijuta
Bora hiyo mkuu, Yule aliyepasuliwa kichwa badala mguu??? 😛 😛 😛

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
okay,this is RN and American with terrible writing skills and grammar. Yeah,go back to your home country america.
 
Back
Top Bottom