Ona tofauti ya shirikisho la mpira la Tanzania na Sudan!

TFF ni wapuuzi mno...yaani pale kila kiongozi anayekuja ni kupiga deal tu. Hakuna kiongozi aliyewahi kuboresha mpira wa nchi hii. We fikiria nchi kama hii miaka yote hiyo shirika letu la mpira ni nyumba ya bachelor (chumba kimoja na sebule), yaani hawana hata haibu hawa viongozi wetu.
 
Tokea Tenga hadi sasa Malinzi wakiwa marais wa TFF kazi ni kupiga hela tu.. Majizi haya.. Ila sasa serikali imewafikia, ni kuwafinya hadi iwe funzo.. Wameiba sana hawa
 
Unaongelea miaka 10 iliyopita.... Hauwezi kuwa serious.. Hata Cape Verde tulimpiga 4-0 miaka hiyo ...... Sasa hivi unaweza Hata kutoa nae sare!!!???
Kwani swali lako lilikua specific mkuu?wewe SI ulitaka tu kujua kama tulishamfunga kwao au lah?!
 
Back
Top Bottom